Jicho La Ra
Filter
Run Tingz Remix Run Tingz Remix
Tunakimbiza mavitu. Mida ambayo mipango ilianza kunyooka kwenye fani, milango ya neema ilianza kufungukia hapo.
Santuri Santuri
Ni wimbo wa kudhihirisha UHALISI wa fani baada ya miaka yote tulokaa kimya unaweza kuona mitindo inavyokuwa na mdundo ulokatwa na Ra mwenyewe.
B-yond Belief B-yond Belief
Ni ukarabati wa wimbo wetu wa awali na kibwagizo aliimba Makanga, mara hii tulimleta Binti mmoja mtamuuu sana aitwaye Seko. Humu pia ni moja ya nyimbo chache kwenye santuri KWANZANIANZ ambapo wasanii wa kundi zima wamehusika.
Fonk Maniak Fonk Maniak
Umahiri kwenye fani..Kucheza na lugha ya kigeni kama kawaida.