Song picture
Wantaka huku
Comment Share
License   $0.00
Free download
Wantaka Huu
Commercial uses of this track are NOT allowed.
Adaptations of this track are NOT allowed to be shared.
You must attribute the work in the manner specified by the artist.
Ra..Ni muasisi wa Fani ya Hiphop Bongo. Mwanzilishi wa Kundi la Kwanza Unit. Mwandaaji wa video za mziki na mtayarishaji filamu. Kwake unapata HIP HOP HALISI. Midundo vumbi yenye mahadhi ya sauti ya handaki. Mashairi madhubuti yanayowakilisha HARAKATI ZA MWAFRIKA. Nadharia za kabwela anayetumia usanii makini , kwenye kuwakilisha Hali halisi ya maisha ya kawaida kwenye kona za BONGO.
Song Info
Charts
Peak #532
Peak in subgenre #15
Author
Kwanza Unit
Rights
KU 1992
Uploaded
October 19, 2004
Track Files
MP3
MP3 3.8 MB 128 kbps 0:00
Story behind the song
Hiari ya kuchagua, harakati za mwanzo kabisa kwenye fani. Watu hawakujua tunafanya nini..Sasa kama wataka kujua sisis tunawakilisha nini basi wachague wanataka wapi.
Lyrics
zisikilize tu kwa sasa.
On Playlists
Comments
Please sign up or log in to post a comment.