Song picture
Ayeba
Comment Share
Free download
Check out JaxHeart’s latest release “Ayeba” and don’t forget to subscribe to his channels to receive all the latest JaxHeart news and new releases direct from the heart of Tanzania - enjoy!
latin afrobeat raggaeton afrosound
Artist picture
ABUBAKARI ALLY MDACHI popularly known by JAXHEART is an East African male musician, singer and songwriter who resides in Tanzania.
Song Info
Genre
R&B R&B/Soul/Pop
Charts
#1,035 today Peak #30
#780 in subgenre Peak #17
Author
JaxHeart
Uploaded
April 03, 2023
Track Files
MP3
MP3 7.3 MB 256 kbps 4:00
Meta Data
BPM
102
Key
C ♭ maj
Vocals
Male
Lyrics
Macho Yananita Njoo Njoo Baby Unipe Show Cheza Ana Ana Doh Turudi Utoto Njoo Ukae Kushoto Unipe Kajoto Mi Mwenzako Kwako Ndo Nishafyata Hivyo Ona Unanipa Uchizi Oooh Chai Umeijaza Tangawizi Oooh Ona Ninavyokesha Kama Mlinzi Oooh Penzi Laninyima Usingizi Oooh Tayari Nishazama Moyo Unaushusha kitonga oh Mawazo Yamegoma Nyuki Ameona Mzinga Ooh Umenibamba We Dada Kwa Hizo Style Umeniweza We Dada Umependeza Mapaka Najiona Mshamba Najiuliza Nitakuombaje Namba Umenibamba Leo Umenibamba Leo Chorus AYE BA AYE BA AYE BA AYE BA Macho Yananiita Njoo Kifo Cha Mende Chali Naweka Hivyo Siamini Oicha Kinaanza Hivyo Penzi Limenizidi Ujanja Ooh Ananiua Confidence Ananiondoa Stress Vile Anavyonesanesa Kiuno Kinakwenda West Anakirudisha East Mtetemeko Wa Jenereta Nikirudi Nyuma Bado Ananiset Anaipatia Fresh Anabonua Anakileta Nami Sina Ujanja Kwake Najiset Napambania Mechi Mazima Najiweka Vitamu Sana Vikikutana Ooh ooh Umenibamba We Dada Kwa Hizo Style Umeniweza We Dada Umependeza Mapaka Najiona Mshamba Najiuliza Nitakuombaje Namba Umenibamba Leo Umenibamba Leo Chorus AYE BA AYE BA AYE BA AYE BA
Song Likes
Comments
Please sign up or log in to post a comment.