Song picture
Santuri
Comment Share
Free download
Ni wimbo wa kudhihirisha UHALISI wa fani baada ya miaka yote tulokaa kimya unaweza kuona mitindo inavyokuwa na mdundo ulokatwa na Ra mwenyewe.
Ra..Ni muasisi wa Fani ya Hiphop Bongo. Mwanzilishi wa Kundi la Kwanza Unit. Mwandaaji wa video za mziki na mtayarishaji filamu. Kwake unapata HIP HOP HALISI. Midundo vumbi yenye mahadhi ya sauti ya handaki. Mashairi madhubuti yanayowakilisha HARAKATI ZA MWAFRIKA. Nadharia za kabwela anayetumia usanii makini , kwenye kuwakilisha Hali halisi ya maisha ya kawaida kwenye kona za BONGO.
Song Info
Charts
Peak #219
Peak in subgenre #14
Author
Ra
Rights
KU 2003
Uploaded
October 19, 2004
Track Files
MP3
MP3 2.6 MB 128 kbps 0:00
Story behind the song
Kutembelea mji wa London ndo' kuliletea kufanywa huu wimbo. Nilikutana na mtayarisha mziki na DJ wa BBC ambaye ni mkenya, moja ya wakereketwa wa Kwanza Unit walio nje ya Bongo. Yeye alipendekeza tufanye nyimbo na akafanya mdundo, matokeo yake nikaandika tenzi pale pale. Nilikwenda Darby ambako nilifanya mdundo mwingine kabisa ambao ndo huu tulotumia kufanya hii nyimbo.
Lyrics
Utazisikia mwenyewe.
Comments
Please sign up or log in to post a comment.