Song picture
B-yond Belief
Comment Share
Free download
Ni ukarabati wa wimbo wetu wa awali na kibwagizo aliimba Makanga, mara hii tulimleta Binti mmoja mtamuuu sana aitwaye Seko. Humu pia ni moja ya nyimbo chache kwenye santuri KWANZANIANZ ambapo wasanii wa kundi zima wamehusika.
Ra..Ni muasisi wa Fani ya Hiphop Bongo. Mwanzilishi wa Kundi la Kwanza Unit. Mwandaaji wa video za mziki na mtayarishaji filamu. Kwake unapata HIP HOP HALISI. Midundo vumbi yenye mahadhi ya sauti ya handaki. Mashairi madhubuti yanayowakilisha HARAKATI ZA MWAFRIKA. Nadharia za kabwela anayetumia usanii makini , kwenye kuwakilisha Hali halisi ya maisha ya kawaida kwenye kona za BONGO.
Song Info
Charts
Peak #1,058
Peak in subgenre #32
Author
Kwanza ; Y-Thang,Eazy -B, D-Rob aka Zomba (M.A.P)
Rights
KU 1997
Uploaded
October 19, 2004
Track Files
MP3
MP3 3.3 MB 128 kbps 0:00
Story behind the song
Watu wanaendeleza kufanya mavitu. Kuna watu hawakuamini na wale walioamini waliendelea kuunga mkono na FANI tukawa tunaiimarisha ndani na nje ya mipaka yetu.
Lyrics
Utazisikia tu hamna noma.
Comments
Please sign up or log in to post a comment.