Song picture
Fonk Maniak
Comment Share
Free download
Umahiri kwenye fani..Kucheza na lugha ya kigeni kama kawaida.
Ra..Ni muasisi wa Fani ya Hiphop Bongo. Mwanzilishi wa Kundi la Kwanza Unit. Mwandaaji wa video za mziki na mtayarishaji filamu. Kwake unapata HIP HOP HALISI. Midundo vumbi yenye mahadhi ya sauti ya handaki. Mashairi madhubuti yanayowakilisha HARAKATI ZA MWAFRIKA. Nadharia za kabwela anayetumia usanii makini , kwenye kuwakilisha Hali halisi ya maisha ya kawaida kwenye kona za BONGO.
Song Info
Charts
Peak #368
Peak in subgenre #9
Author
Kwanza ; Y-Thang,Eazy -B, D-Rob aka Zomba (M.A.P)
Rights
KU 1992
Uploaded
October 19, 2004
Track Files
MP3
MP3 4.5 MB 128 kbps 0:00
Story behind the song
Watu walikuwa na umahiri na wanao hadi leo, katika kuonyesha ujuba kwenye fani waliweza kuvuka mipaka na kuiweka Bongo kwenye Ramani.
Lyrics
Sikiliza mwenyewe halafu sema..
Comments
Please sign up or log in to post a comment.