Jicho La Ra
Ra..Ni muasisi wa Fani ya Hiphop Bongo. Mwanzilishi wa Kundi la Kwanza Unit. Mwandaaji wa video za mziki na mtayarishaji filamu. Kwake unapata HIP HOP HALISI. Midundo vumbi yenye mahadhi ya sauti ya handaki. Mashairi madhubuti yanayowakilisha HARAKATI ZA MWAFRIKA. Nadharia za kabwela anayetumia usanii makini , kwenye kuwakilisha Hali halisi ya maisha ya kawaida kwenye kona za BONGO.
Tell me about your history? How did you get where you are now?
Watu wapo walikuwepo na watakuwepo.
Ra
Have you performed live in front of an audience? Any special memories?
Nachanganya miziki ya wapigaji Bendi na pia muziki wa kutengeneza Studio, ambao natengeneza mwenyewe.
Your musical influences
Natayarisha midundo mwenyewe, napiga ngoma za kienyeji. Kuwa mtu mweusi na harakati za kiutamaduni zinaleta msisimko mkubwa sana na kila tendo linahusika na sanaa, muziki ni kama mila na desturi.
What equipment do you use?
Ngoma, Kora, marimba
Anything else?
Tuamkeni washkaji.