African traditional band from Tanzania, based in Bagamoyo.
Vitali Maembe & The Spirits
Story behind the song
Daily life among my friends within my community.
Lyrics
Kiitikio:
Sumu ya Teja,
Sumu Ya Teja, Segerea x2
Sumu Ya Teja, Ukonga, Keko, Segerea x2
Sumu ya Teja,
Sumu Ya Teja, Segerea x2
Machizi eeh, mwenzenu naozea Segerea x2
Askari alinikamata na bangi mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia na Kuber mdomoni eh
Askari alinikamata na kete mbili mfukoni eh
Mastono wamenirukia najidunga mkononi eh
Afande nilimwambia, nilimwambia..
We afande usinipeleke, n’takupa buku soo tano
We afande usinifikishe, n’takupa buku shi’ng saba
Afande kagoma, afande kagomaa…x2
Kesho mahakamani, kidhibiti ubaoni eh x2
Machizi eh, sasa nifanye je mie?
Masela eh, sasa nifanye je mie? Ah, aha!
Masela wakan’ambia, wakan’ambia
Masela wangu wakan’ambia, wakan’ambia
Kubali kesi ukale msima, mwana wa Mbonde kaenda karudi mnene
Kubali kesi ukale ugali we, mtoto wa Mbonde kaenda karudi mnene
Utakula bure, utalala bure
Virago bure, sakafu bure
Vipele bure, ukurutu bure
Ukuta upo, utashika bure
Kiitikio:
Sumu ya Teja,
Sumu Ya Teja, Segerea x2
Sumu Ya Teja, Ukonga, Keko, Segerea x2
Sumu ya Teja,
Sumu Ya Teja, Segerea x2
Askari alinikamata na bangi mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia na Kuber mdomoni eh
Askari alinikamata na kete mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia najidunga mkononi eh
Afande nilimwambia, nilimwambia..
We afande usinipeleke, n’takupa buku soo tano
Afande usinifikishe, n’takupa buku shi’ng saba
Afande kagoma, afande kagoma.