Dark mode
PLAY
Mimii na wewe
PLAY
Single - $0.75
Album - $8.00
World - Reggae
Previous peak charts position #155
Previous peak charts position in subgenre #17
Emmanuel Kembe
2000
June 12, 2009
MP3 5.3 MB
128 kbps bitrate
5:49 minutes
Lyrics
TRACK 11 - MIMI NA WEWEN Njo kwangu tu furahi, wa kati wetu..wa ki dhihabu.. Njo kwangu tu furahi, wa kati wetu..murembu.. Usiku ikifika mimi hu weko mukono muwangu kifuwani.. Muwako na wewe hinikaribiya ili tuburu.. Ili tuburu..tuburu..tuburu tuburu dishani.. Sa zile hupo mimi huta juu yako Kwa sababu mimi na wew ni kitu kimoja Sa zile hupo mimi huta juu yako Kwa sababu mimi na wewe ni kitu kimoja..ahhhh.. Njo kwangu tu furahi, wa kati wetu..wa ki dhihabu.. Njo kwangu tu furahi, wa kati wetu..murembu.. Usiku ikifika mimi hu weko mukono muwango kifuwani.. Muwako na wewe hinikaribiya ili tuburu.. Ili tuburu..ili tuburu..tuburu tuburu dishani.. Ili tuburu..tuburu tuburu dishani (2) Ili tuburu..tuburu tuburu dishani.. Kwa sababu mimi na wew nikitu ki moja.. Ili tuburu..tuburu tuburu dishani.. Kwa sababu mimi na wewe nikitu ki moja.. Ili tuburu..tuburu tuburu dishani.. Kwa sababu mimi na wewe nikitu ki moja.. Ili tuburu..tuburu tuburu dishani Kwa sababu mimi na wew ni kitu ki moja.. Ili tuburu...... Lyric by/ Emmanuel Kembe and Thomas Lado. Music by/Emmanuel Kembe North Carolina-USA 2000.
Playlist